AKILI ZA KIJIWENI: Mnguto kaongea uhalisia wala tusishangae
WANAOSHANGAA kauli ya Mzee wangu Steven Mnguto kwamba uendeshaji wa mpira wa miguu pia unahitaji busara na hekima ndio hapa kijiweni tunapaswa kuwashangaa maana sidhani kama kuna ambacho hawakijui. Simba na Yanga zimebebwa sana katika suala zima la uamuzi wa vyombo vyetu vinavyosimamia soka hata pale ambapo kanuni zilikuwa zinazibana timu hizo mbili, sasa leo…