
Mwili mmoja wa ajali ya Coaster Morogoro haujatambuliwa
Morogoro. Siku 14 zimepita tangu ilipotokea ajali ya gari aina ya Coaster iliyogongana na lori, huku mwili mmoja kati ya 15 ya waliofariki bado haukutambuliwa na unaendelea kuhifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro. Ajali hiyo ilitokea Desemba 17 mwaka jana, eneo la Mikese Barabara ya Morogoro – Dar es Salaam baada ya…