Vyombo vya habari vya Haiti vinapambana kuishi wakati wa mashambulio, kuporomoka kwa mapato – maswala ya ulimwengu

Taifa la Kisiwa cha Karibi linakabiliwa na misiba ya kibinadamu, kiuchumi na kisiasa kwa kuongezea sheria na utaratibu. Katika wiki iliyopita, nyumba tatu za media zililenga, kwa kile kinachoonekana kuwa mabadiliko ya mbinu za genge ili kuwatenga idadi ya watu. Habari za UN Aliuliza Frantz Duval, mhariri wa gazeti la Le Nouvelliste, Hervé Lerouge, Mkurugenzi…

Read More

Ghorofa mbili stendi ya Magufuli ziko tupu kwa miaka minne

Ikiwa imetimiza siku 1,087 tangu Stendi ya Magufuli kuanza kutumika, eneo la chini stendi hiyo lenye ghorofa mbili halijawahi kutumika, uchunguzi wa Mwananchi umebaini. Hata hivyo, kuna baadhi maeneo ya stendi hiyo yamepangishwa kwa ajili ya ofisi mbalimbali, zikiwamo za wasimamizi wa kituo, Polisi, Uhamiaji, Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), sehemu ya…

Read More

TANZANIA YAJIPANGA NA MAAMUZI YA RAIS TRUMP KUHUSU ARV

  BOHARI  ya Dawa (MSD), imesema  kuwa Serikali imejipanga kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza kutokana na uamuzi wa Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump kusitisha misaada ya kwa nchi za Afrika.  Mapema mwaka huu, mara baada ya kuapishwa Rais Trump alitangaza kusitisha misaada yote iliyokuwa ikitolewa na Shirika la Misaada la Marekani (USAID) ikiwamo…

Read More

TANZANIA INATARAJIA KUPOKEA DOLA MILIONI 74 KUTOKA IFAD

  Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akizungumza wakati alipokukutana na kufanya mazunguzo na Mkurugenzi Mkazi Mpya wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng ambaye alifika Wizarani hapo kujitambulisha, jijini Dodoma.Mkurugenzi Mkazi Mpya wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng, akizungumza…

Read More

Wafanyabiashara walikimbia Soko la Mkwajuni

Unguja. Licha ya Serikali kuweka mazingira mazuri kwa wafanyabiashara ikiwemo kujenga masoko ya kisasa katika maeneo mbalimbali, bado mwitikio wa wafanyabiashara ni mdogo wa kufanya biashara katika masoko hayo. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Machi 19, 2025, Mkuu wa Soko la Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja, Abdalla Silima Makame amesema tangu lilipofunguliwa soko hilo bado…

Read More

Matumizi ya mbolea yameongeza tija kwenye kilimo

Dodoma. Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imebaini ongezeko kubwa la matumizi ya mbolea nchini, ambapo matumizi ya virutubisho kwa hekta yameongezeka kutoka kilo 19 mwaka 2020/21 hadi kufikia kilo 24 mwaka 2024/25. Hali hiyo imeonyesha ni ishara ya mafanikio makubwa katika juhudi za kuboresha kilimo nchini, hasa kwa wakulima wa mazao ya kibiashara….

Read More