Tanzania yajipanga na maamuzi ya Trump kuhusu ARV

Bohari ya Dawa (MSD), imesema kuwa Serikali imejipanga kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza kutokana na uamuzi wa Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump kusitisha misaada ya kwa nchi za Afrika. Mapema mwaka huu, mara baada ya kuapishwa Rais Trump alitangaza kusitisha misaada yote iliyokuwa ikitolewa na Shirika la Misaada la Marekani (USAID) ikiwamo ugawaji…

Read More

Mashindano ya Gofu ya ‘NBC Waitara Trophy 2025’ Yazinduliwa Rasmi, Benki ya NBC Yaridhishwa Kasi ya Uibuaji Vipaji Mchezo wa Gofu

Mashindano ya Gofu ya ‘NBC Waitara Trophy’ msimu wa mwaka 2025 yamezinduliwa rasmi leo jijini Dar es Salaam huku mdhamini Mkuu wa mashindano hayo Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ikisisitiza dhamira yake ya kuendelea kushirikiana na wadau wa mchezo huo hususani katika kuibua vipaji vipya vya mchezo huo. Hafla ya uzinduzi wa mashindani hayo…

Read More

Chuo Kikuu Ardhi chapata mwarobaini uhaba wa madarasa

Dar es Salaam. Moja ya kikwazo ambacho Chuo Kikuu Ardhi (ARU) jijini hapa, kinakumbana nacho cha upungufu wa madarasa, kinakwenda kupata ufumbuzi ifikapo Agosti 2025, yatakapokamilika majengo mapya yanayoendelea kujengwa chuoni hapo. Kwa muda mrefu, Chuo Kikuu Ardhi, kama vilivyo vyuo vingine, kimekuwa kikikabiliwa na uhaba wa madarasa, jambo linalosababisha kushindwa kudahili wanafunzi wengi zaidi….

Read More

‘Vumbi barabara za Kigoma imebaki historia’

Kigoma. ’Vumbi sasa basi.’ Ni kauli ya matumaini kwa wananchi wa Kigoma, wakielezea adha waliyokuwa wakipitia kabla ya ujenzi wa barabara ya Kabingo- Kasulu- Manyovu. Ujenzi wa barabara hiyo ambayo ipo kwenye ushoroba wa kimataifa wa Magharibi unaounganisha pia nchi za Burundi, Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo umefikia asilimia 83. Ujenzi wake umegawanywa…

Read More