
AKILI ZA KIJIWENI: Mara wameamua kuishusha Biashara Utd
WIKI iliyopita ambayo ilikuwa ya mwisho kwa mwaka 2024, haikumalizika vizuri kwa mkoa wa Mara baada ya kamati ya usimamizi na uendeshaji wa ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kutoa uamuzi ambao ni wa maumivu kwa mkoa huo. Uamuzi huo ni wa kuipoka pointi 15 timu ya Biashara United ya mkoani humo inayoshiriki…