Mradi wa jengo la mama na mtoto Geita wasuasua
Geita. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi imeitaka Wizara ya Afya kupeleka fedha za mradi wa jengo la mama na mtoto, njia za watembea kwa miguu na mfumo wa maji taka katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita kwa kuwa ujenzi wake umesimama tangu mwaka 2023 kutokana na changamoto…