
BoT: Mikopo ya kobe, nyoka haina leseni
Dar es Salaam. Siku chache baada ya kusambaa mitandaoni mahojiano ya mmoja wa wanawake akizungumzia uwepo wa mikopo aina ya kobe na nyoka, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka wananchi kutokopo kwa kuwa haijakatiwa leseni. Taarifa ya BoT iliyotolewa jana inaeleza kuwa, kuna taarifa katika mitandao ya kijamii zinazohusisha alama za wanyama kama vile kobe…