BDL sasa kufanyika Aprili | Mwanaspoti
Kamishina wa ufundi na mashindano wa Ligi ya kikapu mkoa wa Dar es Salam (BDL), Haleluya Kavalambi amesema ligi hiyo inatarajiwa kuanza mwezi Aprili na tarehe kamili itatangazwa baada ya kikao cha kwanza cha BD na klabu kufanyika. “Kikao hicho kitazungumzia mapitio ya kanuni na kuzipitisha, ambazo ndizo zitakazoongoza na kusimamia msimu wa Ligi ya…