
Kibwana: Mwenda? Mbona freshi tu!
KAMA unafikiri ujio wa Israel Mwenda ndani ya Yanga umemshtua beki Kibwana Shomari, basi unajidanganya kwani mwenyewe ameweka wazi kuwa kuongezewa changamoto ya ushindani kunamkomaza na kumfanya anakuwa bora zaidi.
KAMA unafikiri ujio wa Israel Mwenda ndani ya Yanga umemshtua beki Kibwana Shomari, basi unajidanganya kwani mwenyewe ameweka wazi kuwa kuongezewa changamoto ya ushindani kunamkomaza na kumfanya anakuwa bora zaidi.
Ofisi ya uratibu wa misaada ya Umoja wa Mataifa, OCHA, taarifa kwamba operesheni ya kuvuka mpaka kutoka Türkiye hadi kaskazini-magharibi inaendelea bila vikwazo. Siku ya Jumanne, malori 21 yamebeba tani 500 za chakula – zinazotosha watu 175,000 – kutoka Mpango wa Chakula wa Umoja wa Mataifa.WFP) ilivuka hadi Idlib kupitia kivuko cha mpaka cha Bab…
Katibu Mkuu wa NATO, Mark Rutte, aliweka vipaumbele vya muungano huo kwa mwaka 2025 katika hotuba ya kutisha akionyesha jinsi vita vilivyo karibu sana na mlango wa muungano huo wa kijeshi. “Kutoka Brussels, inachukua siku moja tu kuendesha gari kufika Ukraine,” alisema katika hotuba ya Desemba katika taasisi ya Carnegie Europe. “Huko ndiko mabomu ya…
Pamoja na makundi ya wapiganaji wa Kipalestina, Hamas na Hezbollah ya Lebanon, kudhoofika baada ya zaidi ya mwaka mmoja wa vita, na kuanguka kwa Bashar al-Assad nchini Syria kuondoa kiungo muhimu katika “mhimili wa upinzani” wa Iran dhidi ya Israel, waasi wa Kihuthi wameibuka kuwa tishio la karibu zaidi kwa usalama wa Israel. Kundi hilo…
Mweka hazina wa Chama cha mabondia wa ngumi za kulipwa nchini, Cosmas Cheka amesema kuwa bondia Hassan Mgaya sasa anatarajia kuzikwa kesho Januari 2, 2025 badala ya leo Jumatano kama ilivyotangazwa awali kutokana na kusubiriwa baba wa marehemu anayetarajia kuwasili leo kutokea DR Congo. Cheka amesema kuwa awali baba wa marehemu alitaka wazike leo kwa…
NANI atakuwa makamu mwenyeki ti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara ni swali ambalo limeku wa likiulizwa na makada wa CCM na hata wafuatiliaji wa karibu wa siasa nchini, hasa mwaka huu ambao Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu Rais, Wabunge na Madiwani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Jibu la swali hilo…
The Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Mtoto ulisifiwa kuwa mkataba wa kihistoria ulipopitishwa na viongozi wa dunia mwaka wa 1989, na umechochea serikali kupitisha sheria zinazowalinda watoto dhidi ya jeuri na unyonyaji. Takriban muongo mmoja baadaye, itifaki inayokataza kuajiri na kutumia kama askari wa watoto wote walio chini ya umri wa miaka…
Kibaha. Mchungaji wa Kanisa Anglikana la Mtakatifu Gabriel, Kibaha Pwani, Exavia Mpambichile amewahamasisha waumini wake kuanza mwaka mpya wakiwa na malengo thabiti ya maendeleo, hasa katika sekta ya uchumi. Akizungumza katika ibada ya mkesha wa mwaka mpya iliyofanyika usiku wa kuamkia leo Januari Mosi, 2025 kwenye kanisa hilo, Mpambichile alisisitiza umuhimu wa kuwa na malengo…
Wananchi wa kata tano za Jimbo la Lupembe wilayani Njombe, wanatarajia kuondokana na adha ya kukodi usafiri kwa gharama kubwa pamoja na kupandisha wanawake wajawazito kwenye boda boda wanapofuata huduma kwenye hospitali kubwa mara baada ya serikali kuwaletea gari la kubebea wagonjwa. Wakizungumza baada ya kukabidhiwa gari hilo katika kituo cha afya Mtwango na…
MASHUJAA FC iko kwenye hatua za mwisho kufanya biashara na AS Vita ya DR Congo ambayo inamtaka mshambuliaji Ismail Mgunda. AS Vita inamtaka Mgunda kwenda kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji, ambapo nyota huyo ni mmoja wa mastaa wanaotakiwa na kocha wa kikosi hicho, Youssouph Dabo ambaye ni kocha wa zamani wa Azam FC. Mgunda…