Mpanzu, Kibu wampa mzuka Fadlu
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids ameeleza mkakati wake wa kiufundi katika safu ya ushambuliaji akisisitiza umuhimu wa kubadilishana nafasi kwa wachezaji wa mbele ikiwemo Elie Mpanzu, Kibu Denis na Charles Jean Ahoua ili kuzalisha mashambulizi ya aina tofauti. Kocha huyo raia wa Afrika Kusini ambaye anachanga karata zake kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa…