LHRC NA NORWAY WASAINI MKATABA MPYA WA MAKUBALIANO
::::::::::::: Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Norway nchini, wamesaini mkataba mpya wa makubaliano ya ushirikiano wa miaka mitatu wenye thamani ya Krone milioni 19 za Norway, sawa na takribani dola milioni 2 za Kimarekani. Makubaliano hayo yamefikiwa katika hafla rasmi iliyofanyika katika ofisi za makao makuu ya…