KAWAAMBIENI WALIOWATUMA KAZI YA KUZUIA UCHAGUZI MKUU NI NGUMU KAMA ILIVYOKUWA VIGUMU KUMFUFUA ALIYEKUFA-WASIRA

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Stephen Wasira amesisitiza kuwa hakuna mtu yoyote ambaye anaweza kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu usifanyike na hao wanaotaka kuuzuia kama wametumwa wawaambia hao waliowatuma kwamba kazi hiyo ni ngumu na haitawezekana. Akizungumza na wananchi wa Mbeya Mjini leo Machi 17,2025 katika mkutano wa hadhara, Wasira ametumia nafasi…

Read More

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE LA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA (LAAC) YATOA AGIZO KWA MANISPAA YA IRINGA

NA DENIS MLOWE, IRINGA. KAMATI ya Kudumu ya Bunge la Hesabu za Serikali za Mitaa imeiagiza Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kuhakikisha wanakamilisha mradi wa machinjio ya Ngelewala ifakapo Disemba 30 2027 na kukabidhi ripoti kwa mkaguzi wa hesabu za serikali CAG. Aidha, kamati hiyo imeiagiza halmashuri hiyo kutoa taarifa inayojitosheleza ambayo itaeleza kwa kina…

Read More

Watoto wetu wanavyoangamia kwenye dunia ya dijitali

Mijadala ya hivi karibuni imechochea mazungumzo ya dharura, huku wadau wakiishinikiza Serikali kuweka udhibiti mkali wa matumizi ya simu kwa watoto ili kuwalinda dhidi ya unyanyasaji wa kingono na ukatili wa mtandaoni. Teaser: Kitendo cha kumpa mtoto simu kinaonekana kama ishara ya uaminifu. Lakini katika kubadilishana huku, udhaifu mpya huibuka, ambapo ufikiaji wa mtandao bila…

Read More

Umuhimu wa ujuzi wa kidijitali ulimwengu wa sasa

Katika dunia ya sasa inayosukumwa na maendeleo ya teknolojia, ujuzi wa kidijitali umekuwa moja ya mahitaji muhimu  katika maisha ya kila siku. Sekta mbalimbali zinapitia mageuzi makubwa ya kidijitali, na wale wasioweza kuendana na mabadiliko haya wanajikuta wakiachwa nyuma. Si kazini, tasisi za utoaji elimu, nyumbani; mwote humo ujuzi wa kidijitali unatajwa kuwa mhimili muhimu…

Read More

Walimu watambue hawako juu ya sheria

Hivi karibuni, kumeibuka wimbi la utoaji holela wa adhabu kwa wanafunzi shuleni.   Baadhi ya matukio yamesababisha madhara makubwa ikiwamo vifo na majeraha mabaya kinyume kabisa na sheria za nchi. Matukio haya yanasikika kuanzia kusini mwa nchi hadi kaskazini, licha ya uwepo wa kanuni ya utoaji viboko GN namba 294 ya Julai 31, 2002 iliyozaa Waraka…

Read More

Haja ya somo la maadili kufundishwa vyuoni

Katika mtalaa mpya wa masomo katika shule za msingi tumeingiza somo la Historia ya Tanzania na Maadili. Baada ya kuona hatua hii, ambayo naona ni mwanzo mzuri, niliandika makala katika gazeti hili nikashauri kwamba somo la maadili lisimame lenyewe baadala ya kuchanganywa na historia ya Tanzania. Tukumbuke kwamba somo la maadili ni somo mama, ni…

Read More

‘Magari ya takataka ni kama taka Dar’-2

Dar es Salaam. Harufu mbaya, ubovu na kumwaga taka njiani ni miongoni mwa kero zilizoibuliwa na wananchi jijini Dar es Salaam kuhusu magari yanayotumika kubeba taka. Licha ya magari hayo kufanya shughuli hiyo muhimu, yapo malalamiko kuhusu ubora wake, huku wengi wakiyanyooshea vidole kuwa ni miongoni mwa vyanzo vya kuongeza taka nayo yakiwa ‘takataka’ “Haya…

Read More

Vijana wahimizwa kufuata misingi ya dini, maadili

Dar es Salaam. Ili kuwa na jamii iliyobora vijana nchini wamehimizwa kuishi kwa kufuata miongozo na misingi ya dini. Wito huo umetolewa usiku wa Machi 17, 2025 na Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Waithna’ashariyyah Tanzania (TIC), Hemed Jalala wakati wa hafla ya uzinduzi wa tafsiri ya Qur’an ya Marhum iliyofanywa na marehemu Sheikh Hassan Mwalupa…

Read More