SERA YA TAIFA YA ARDHI YA MWAKA 1995 TOLEO LA MWAKA 2023 KUZINDULIWA MACHI 17 DODOMA
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inatarajia itazindua rasmi Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 toleo la mwaka 2023, Machi 17, 2025 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center jijini Dodoma ambapo mgeni rasmi katika uzinduzi huo anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Waziri…