
Adam, Kagera upepo umegeuka | Mwanaspoti
LILE dili la mshambuliaji wa Azam FC, Adam Adam la kwenda kwa mkopo wa miezi sita Kagera Sugar limeyeyuka na sasa anatajwa yupo hatua ya mwisho kujiunga na chama lake la zamani la Tanzania Prisons. Mwanaspoti limepata taarifa za ndani kilichokwamisha Adam asijiunge na Kagera ambayo ilishakubaliwa na Azam, sababu ni viongozi wa timu hiyo…