Rais Samia: Watendaji wa ardhi badilikeni, mnalalamikiwa na wananchi

Dar/Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji wa ardhi nchini kubadilika kwa sababu wananchi wanawalalamikia  kwa rushwa, kujilimbikizia viwanja na kugawa kiwanja kimoja kwa watu wawili. Mbali na hilo, amewataka watumishi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), kubadilika kwa kutokuwa mvinyo uleule kwenye chupa mpya. Rais Samia ameyasema hayo leo Jumatatu…

Read More

KAMATI YA BUNGE YAITAKA REA, TANESCO KUBANDIKA BEI ZA UUNGANISHAJI UMEME KATIKA OFISI ZA SERIKALI ZA VIJIJI

Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga akizungumza na wakati wa kata wa Mang’oto Wilayani Makete Mkoani Njombe wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ya kukagua miradi ya usambazaji wa umeme, tarehe 17 Machi 2025. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Mathayo David(Katikati)akizungumza…

Read More

Masaibu ya wanawake wenye vitambi

Kuvunjika kwa uhusiano, kujichukia kwa kukosa mwonekano mzuri ni baadhi ya mambo wanayokumbana nayo wanawake wenye vitambi, huku takwimu zikionesha kuwapo kwa idadi kubwa ya wanawake wenye hali hiyo. Kwa mujibu wa ripoti ya Utafiti wa Ufuatiliaji wa Kaya (NPS) wa mwaka 2020/21, asilimia 47 ya wanawake wenye umri kati ya miaka 15 hadi 49…

Read More

Mabadiliko sekta ya ardhi | Mwananchi

Dar/Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji wa ardhi nchini kubadilika kwa sababu wananchi wanawalalamikia  kwa rushwa, kujilimbikizia viwanja na kugawa kiwanja kimoja kwa watu wawili. Mbali na hilo, amewataka watumishi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), kubadilika kwa kutokuwa mvinyo uleule kwenye chupa mpya. Rais Samia ameyasema hayo leo Jumatatu…

Read More

JOTO LA UCHAGUZI LAANZA KUPANDA NYARI ATAJWA

Na Mwandishi wetu, Mirerani JOTO la uchaguzi limeanza kupanda kwenye baadhi ya majimbo katika mchakato wa ubunge na udiwani nchini kwani baadhi wameanza kutajwa tajwa sehemu tofauti. Ikiwa kipenga cha mchakato huo bado hakijapulizwa rasmi ila maeneo mbalimbali majina tofauti yameanza kutajwatajwa. Miongoni mwa wadau wa maendeleo wanaotajwa tajwa kuwania ubunge mwaka 2025 ni mfanyabiashara…

Read More