
Haji Mnoga akipiga dakika 58 dhidi ya Man City
LICHA ya chama la beki Mtanzania, Haji Mnoga wa Salford City ya Uingereza kupokea kichapo cha mabao 8-0 dhidi ya Manchester City, nyota huyo alianza na kukipiga kwa dakika 58. Salford juzi ilikuwa kwenye Uwanja wa Etihad jijini Manchester kuvaana na Man City katika mchezo wa raundi ya tatu ya Kombe la FA. Beki huyo…