Mbeya City yaweka rekodi Shirikisho
MBEYA City imekuwa ni timu ya kwanza ya Ligi ya Championship kuweka rekodi ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) msimu huu, baada ya kuifunga Mtibwa Sugar mabao 2-1, Machi 13 kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Msimu huu ni timu sita pekee zilizofuzu 16 bora ikiwa ni rekodi, kwani msimu uliopita…