Kwa refa huyu, Simba ijipange Cairo
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), limemteua mwamuzi Boubou Traore kutoka Mali kusimamia mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, kati ya wenyeji Al Masry ya Misri na wawakilishi pekee wa Tanzania, Simba. Traore aliyezaliwa Machi 3, 1989, amepangwa kuchezesha mchezo huo utakaopigwa Aprili 2, kwenye Uwanja wa New Suez Canal huko…