WASIRA:NI MARUFUKU KUWATOZA FEDHA WANAOKWENDA KUJIFUNGUA HOSPITALINI
Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepiga marufuku akina mama wajawazito wanaokwenda kujifungua hospitalini kutozwa fedha kwani huduma ya kujifungua ni bure na maelekezo tayari yalishatolewa. Akizungumza mbele ya wananchi wa Mlowo katika Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe akiwa katika ziara yake ya kikazi Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Stephen Wasira amesema sera ya…