VIONGOZI ACHENI KUWAKATISHA TAMAA WANAWAKE- DKT. TULIA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa upo umuhimu wa Viongozi waliopo madarakani kuacha kutoa hadithi za kusikitisha na kukatisha tamaa kwa wanawake na wasichana wanaopambania kesho yao iliyo nzuri kwenye Uongozi na badala yake kujiona wao ni sehemu…