
Camara amvuta kiungo CS Sfaxien Simba, ishu nzima iko hivi
MECHI mbili ambazo Simba imecheza dhidi ya vibonde wa Kundi A katika Kombe la Shirikisho Afrika, CS Sfaxien, zimempa faida mara mbili kocha wa timu hiyo, Fadlu Davids. CS Sfaxien ni vibonde wa kundi hilo kutokana na hadi sasa kutopata pointi yoyote katika mechi nne za hatua ya makundi ambapo timu zote zimecheza huku vinara…