Chamou atuliza presha Simba SC
BEKI wa Simba Chamou Karaboue amewashusha presha mashabiki wa klabu hiyo, hata kama Che Malone Fondoh hatakuwepo lakini amejipanga vizuri kuhakikisha anaendeleza ubora kwenye ukuta wa timu hiyo. Chamou ambaye alitua Simba msimu huu, amekuwa miongoni mwa mabeki ambao hawapati muda mwingi wa kucheza, baada ya kukuta mastaa wanaokiwasha zaidi yake katika maeneo hayo. Simba…