
Wasichana wapewa mbinu kupambana na ukatili wa kijinsia
Dar es Salaam. Katika jitihada ya kukomesha vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwamo rushwa ya ngono kwa wanawake wajasiriamali, taasisi inayoshughulika na uwezeshaji wa wasichana ya Her Initiative imekuja na jukwaa mseto la kidigitali la Ongea Hub ili wasichana wajasiriamali waripoti matukio ya ukatili wa kijinsia. Pia, kupitia jukwaa hilo wasichana wajasiriamali wanaunganishwa na mamlaka…