Kocha: Vijana Queens haitayumba BDL
Kocha wa timu ya Vijana Queens, Kabiola Shomari, amesema kuondoka kwa wachezaji wake, Happy Danford na Tumaini Ndossi kujiunga na timu ya Tausi Royals, timu yake haitatetereka. Usajili wa timu ya Tausi Royals kwa wachezaji hao kutoka Vijana Queens, ni wa pili kwao, mwaka jana iliwasajili Diana Mwendi, Tukusubira Mwalusamba na Asumpta. Kwa mujibu wa…