
Othman atangaza nia kugombea urais Zanzibar
Unguja. Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman ametangaza nia ya kugombea urais wa Zanzibar kwenye uchaguzi mkuu ujao endapo chama chake kitaridhia na kumpa jukumu hilo ili awasaidie Wazanzibari. Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, amebainisha hayo leo Januari mosi, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uamuzi…