
WAZIRI MKUU AFUNGUA SKULI YA SEKONDARI MAKOBA YA ZANZIBAR
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Skuli ya Sekondari Makoba iliyoko Kaskazini Unguja ikiwa shamrashamra za Maadhimisho ya Maka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Januari 5, 2025. Wa pili kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Leila Muhamed Musa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa…