
MAKAMU MWENYEKITI TANZANIA BARA KUJULIKANA JANUARI 19.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, MKUTANO Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unatarajia kufanyika Januari 18 hadi 19 mwaka huu ukiwa na ajenda tatu ikiwemo kuziba nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara. Akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya CCM katika ukumbi wa White House jijini Dodoma…