
Mastaa Yanga wawekewa mzigo wa maana mezani ikifuzu robo fainali CAFCL
HESABU za Yanga hivi sasa ni kushinda mechi zao mbili zijazo za Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal (ugenini) na MC Alger (nyumbani) ili wafuzu robo fainali ya michuano hiyo. Yanga inapiga hesabu hizo bila ya kuangalia MC Alger na TP Mazembe watafanya nini katika mechi zao kwani ndiyo timu zinazowania nafasi moja…