Kada wa CCM ashikiliwa na Polisi Tanga
Tanga. Polisi Mkoa wa Tanga limesema linamshikilia kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani humo, Swahibu Mwanyoka kutokana na tuhuma zilizoripotiwa. Katika taarifa iliyotolewa na kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi leo Jumatano Machi 12, 2025 imeeleza uchunguzi unaendelea ili hatua stahiki zichukuliwe kwa mujibu wa sheria. “Jeshi la Polisi Mkoa…