PIC yaridhishwa na utekelezaji wa mradi wa HEET Udom
Dodoma. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imesema imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa maabara za sayansi na madarasa ya masomo ya kada ya ardhi kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom). Mradi huo utakaowezesha kupanua wigo wa udahili wa wanafunzi kwenye chuo hicho, unatekelezwa chini ya Mradi…