
Wabunifu teknolojia za nishati safi watakiwa kukuza soko
Dar es Salaam. Wabunifu wa teknolojia za nishati safi ya kupikia, wametakiwa kuboresha ujuzi na maarifa ili kukuza soko la vifaa hivyo na kuhimili athari za mabadiliko tabianchi. Hayo yameelezwa leo Jumanne, Januari 7, 2025 na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Ufundi Juu ya Upatikanaji wa Nishati Safi ya Kupikia, Ngereja Mgejwa katika mafunzo…