
Dakika 20 na Kamungo: Asimulia alivyokiwasha dhidi ya Lionel Messi
KATIKA sherehe za mwishoni mwa mwaka, Bernard Kamungo ambaye anaichezea FC Dallas ya Ligi Kuu Marekani ‘MLS’ alikuwa Tanzania kwa ajili ya mapumziko. Mwanaspoti lilipata nafasi ya kuzungumza naye kwa dakika 20 katika moja ya hoteli zenye hadhi ya nyota tano jijini Dar es Salaam kuhusu mambo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ndoto yake ya…