
Trump Azua Tafrani Kuhusu Kuichukua Canada – Global Publishers
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amezuwa mjadala mkali kimataifa baada ya kutaja uwezekano wa kuuchukuwa Mfereji wa Panama, kisiwa cha Greenland na kuigeuza Canada kuwa jimbo la 51 la Marekani. Kauli ya Trump imekemewa vikali na viongozi wa nchi za magharibi pamoja na Canada. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Fllorida…