
Sababu kuwepo matumaini ya nafuu bei ya mafuta 2025
Miongoni mwa bidhaa muhimu ambazo Tanzania huziagiza nje ya nchi ni bidhaa za mafuta, ambazo gharama zake kwa mwaka ni wastani wa Dola za Marekani 2.57 bilioni (Sh6.1 trilioni). Kutokana na umuhimu wake katika uchumi, kushuka na kupanda kwa bei za bidhaa hiyo huwa na athari ya moja kwa moja katika maisha ya kila siku…