
CAICA WAJIPANGA KUDHIBITI VIPODOZI FEKI NCHINI TANZANIA
WADAU Wa Sekta ya Urembo na Mitindo wameihimiza serikali kuweka Mazingira bora ya uwakala wa bidhaa za kimataifa za vipodozi ili kupunguza changamoto ya bidhaa bandia zinazosambazwa nchini. Akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa tawi jipya la Duka la Dawa baridi na Vipodozi Mkurugenzi wa CAICA Pharmacy, Jackson John, amesema Kampuni yake inalenga kuwa mfano…