
Walioshtakiwa kwa tuhuma za mauaji ya msimamizi wa mirathi, mkewe waachiwa huru
Arusha. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Geita, imewaachia huru watu 10 wakiwamo wa familia moja waliokuwa wakishtakiwa kwa kesi ya mauaji ya wanandoa. Mauaji hayo yanadaiwa kusababishwa na mgogoro wa muda mrefu wa mirathi kuhusu shamba la familia la ekari 400. Waliokuwa wakishtakiwa ni Ernests Nyororo, Zanzibar Madegeleki, Lucas Madegeleki, Lushingi Madegeleki, Kesi Madegeleki, Simon…