Kikosi kazi NaCoNGO chazinduliwa – MICHUZI BLOG
BARAZA la Taifa la Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali(NaCoNGO), limezindua kikosi kazi cha kitaifa chenye wajumbe 14 wanaotoka katika makundi ya wawakilishi mbalimbali kwa ajili ya kukusanya maoni ya wadau pamoja na kufanya mapitio ya kanuni zinazosimamiwa na baraza hilo. Akizindua Kikosi hicho mapema leo Machi 12,2025 jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Baraza hilo,Gasper Makala…