Timu hizi ukilenga tu, imooo!
LIGI Kuu Bara inatarajiwa kuendelea tena kesho kwa mchezo wa kiporo baina ya Simba dhidi ya Dodoma Jiji ikiwa ni funga hesabu kwa mechi za raundi ya 23 kabla ya ligi hiyo kusimama hadi Aprili Mosi kupisha kalenda ya mechi za kimataifa kwa timu za taifa na michuano ya Kombe la Shirikisho. Hata hivyo, wakati…