
Sera ya uchumi wa buluu kutekelezwa kisayansi
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kuitekeleza kisayansi sera ya uchumi wa buluu, hivyo itaweka nguvu katika tafiti za rasilimali za bahari. Dk Mwinyi amesema hayo leo Jumapili, Januari 5, 2025 wakati uwekaji wa jiwe la msingi katika jengo la taaluma na utawala la Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS)…