Dabi yaliza wengi, kwa hasara waliyopata Yanga yajipanga kwenda CAS
KUSHINDWA kupigwa kwa pambano la Dabi ya Kariakoo Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam bado ni gumzo, huku wadau mbalimbali wakilia hasara walizopata kutokana na kuahirishwa kwa pambano hilo kulikofanywa na Bodi ya Ligi. Bodi ya Ligi iliahirisha mchezo huo saa chache kabla ya kupigwa saa 1:15 usiku baada ya awali…