Daktari ambaye hakuweza kuacha Goma – maswala ya ulimwengu

Moto wa bunduki ulirarua giza. Usiku baada ya usiku, daktari wa miaka 44 kutoka Guinea alishikilia kwa matumaini kwamba mji uliozingirwa ungeshikilia kwa njia fulani. Halafu, asubuhi moja mwishoni mwa Januari, simu ilikuja: Yeye na wafanyikazi wa kimataifa waliobaki walipaswa kuhamishwa mara moja. “Tulichukua ndege ya mwisho,” alikumbuka. Masaa baadaye, Goma alikuwa mikononi mwa M23….

Read More

Nani Kuibuka Kidedea EPL? – Global Publishers

Katika kuendelea kuhakikisha kuwa Meridianbet haikuachi hivi hivi, Jumatatu ya leo wameamua kukupatia ODDS za kibabe kwenye mechi zote za leo. Nani kuondoka na ushindi leo?. Tandika jamvi lako na ushinde sasa. LALIGA kule Hispania inatarajiwa kuendelea Athletic Bilbao atamenyana vikali dhidi ya Rayo Vallecano ambao mechi iliyopita walishinda, huku mwenyeji wao akishinda pia. Hivyo…

Read More

Nauli mwendokasi Mbagala huenda ikawa ‘buku’

Dar es Salaam. Zikiwa zimebaki siku sita kuanza kwa huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka ‘mwendokasi’ barabara ya Mbagala, huenda nauli ya safari moja ikawa Sh1,000. Taarifa ya kuanza kwa huduma ya usafiri huo Mbagala ilitolewa wiki iliyopita na Mkurugenzi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Dk Athuman Kihamia alipozungumza na The Citizen….

Read More

Bado Watatu – 8 | Mwanaspoti

Nikakaa kwenye kiti na kumuuliza. “Kuna taarifa yoyote ambayo mmeshaipata kuhusiana na mtu aliyefanya yale mauaji?” “Bado hatujapata taarifa yoyote, tunawasikiliza ninyi polisi.” “Kwa upande wetu tumemgundua muuaji….” “Ni mtu anayeitwa Thomas Christopher. Sijui kama unamfahamu mtu huyo” “Thomas Christopher?” “Ndiyo Thomas Christopher.” Alphonce akatikisa kichwa. “Naamini kwamba ni mmoja wa marafiki wa marehemu na…

Read More

TRA yaja na mfumo mpya makusanyo ya kodi

Arusha. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua mfumo mpya wa kielektroniki wa usimamizi wa maarifa (Knowledge Management System) unaolenga kuongeza uwazi na weledi katika ukusanyaji wa mapato. Mfumo huo unatajwa kuongeza ufanisi, uwazi, kupunguza mianya ya rushwa kwa watendaji wasio waadilifu, kuongeza usawa ambapo hakutakuwa na mlipakodi atakayetolewa makadirio makubwa sana au atakayependelewa kwa kutoa…

Read More

Ahadi ya Serikali ya umeme wa gridi yatekelezwa Kagera

Kagera. Ahadi ya Serikali ya kufikisha umeme wa gridi ya Taifa katika wilaya zote za Mkoa wa Kagera imetekelezwa baada ya kusaini mikataba ya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 220 kutoka Benako, Ngara  hadi Kyaka  wilayani Misenyi. Utekelezaji wa mradi huo unaenda sambamba na ujenzi wa kituo cha kupoza umeme…

Read More

Bado Watatu – 7 | Mwanaspoti

“MUME wako anaitwa nani?” “Anaitwa Omar Kikasha.” “Hakuna mtu mwingine anayeishi katika nyumba hii anayetumia jina hili?” Nilianza kutomuamini mwanamke huyo kwa kuhisi alikuwa anatuficha. Tabia ya binaadamu akishaona mtu anaulizwa na polisi hata kama hajui amefanya kosa au la, anamficha. Sijui ni kwanini? “Mume wako yuko wapi?” nikamuuliza. “Anafanya kazi wapi?” “Mume wangu ni…

Read More

Auawa kwa kukatwa na wembe gesti, wivu wa mapenzi watajwa

Shinyanga. Mkazi wa kata ya Masekelo, Pendo Samson Methusela (37) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumkata kata na kiwembe sehemu mbalimbali za mwili wake, Timithoy Magesa (35) na kusababisha kifo chake. Akizungumza kwa njia ya simu na Mwananchi Digital leo Agosti 25, 2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth…

Read More

AHADI YA SERIKALI KUFIKISHA UMEME WA GRIDI KAGERA YATEKELEZWA

📌 Dkt.Biteko ashuhudia utiaji saini mikataba itakayowezesha Wilaya zote Kagera kupata umeme wa Gridi 📌 Awali umeme mwingi ulikuwa ukitoka nchini Uganda hivyo kufanya Mkoa kutokuwa na umeme wa uhakika na wa kutosha 📌 Asema Rais.Dkt. Samia alishatoa maagizo ya mradi huo kutekelezwa kwa wakati na kwa usahihi 📌 Aagiza wananchi 1,014 waliopisha mradi kulipwa…

Read More