
Yao atangaza vita mapema | Mwanaspoti
WAKATI mashabiki wakianza kujiuliza mtaani na mtandaoni itakuwaje mara beki wa kulia ya Yanga, Yao Kouassi atakaporejea kutoka kwenye majeruhi kutokana na kiwango kilichoonyeshwa na Kibwana Shomary aliyewashika kwa sasa, lakini beki huyo kutoka Ivory Coast amevunja ukimya na kusema anaukubali uwezo wa mwenzake, huku akisititiza anaamini akipona atarejea katika eneo hilo kama kawaida. Yao…