
Ceasiaa haitaki makuu Ligi Kuu Wanawake
KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema mipango ya timu kwa sasa ni kuhakikisha inasalia Ligi Kuu ili msimu ujao ijipange. Timu hiyo iko nafasi ya tisa katika msimamo wa ligi hiyo ya timu 10 ikishinda mechi mbili kwenye michezo saba na kupoteza tano ikikusanya pointi sita. Chobanka ametambulishwa hivi karibuni kama kocha mkuu wa…