Mbinu Sahihi Kwa Anayetaka Kuolewa! – Global Publishers
Last updated Mar 11, 2025 Maisha yanaenda kasi sana huku suala la ndoa likiwa ni kipaumbele cha kwanza na kigumu kwa wanawake. Matokeo yake wengi wamejikuta wakichanganyikiwa pindi tu wanapotangaziwa ndoa. Mwanamke akiambiwa ninakuoa, akili yote inamruka. Hana muda wa kuhoji mara mbili, cha muhimu ni kusikia tu ile kauli ya ‘nitakuoa’. Hiyo kwake…