Mwambusi aitangazia vita Yanga | Mwanaspoti
KOCHA wa Coastal Union, Juma Mwambusi amesema wanahitaji nidhamu bora ya kiuchezaji wakati kikosi kikijiandaa kuivaa Yanga Machi 12, kwenye mchezo wa Kombe la FA hatua ya 32 utakaopigwa Uwanja wa KMC Mwenge. Akizungumza na Mwanaspoti, Mwambusi alisema baada ya mchezo wao wa mwisho wa Ligi Kuu Bara waliolazimishwa suluhu dhidi ya Dodoma Jiji, tayari…