MAYBELLINE NEW YORK YAZINDULIWA RASMI TANZANIA,WAREMBO WAFURIKA MLIMAN CITY
Na Mwandishi Wetu,Michuzi TV Maybelline New York, bidhaa inayoongoza duniani katika ulimwengu wa vipodozi, inajivunia kutangaza uzinduzi wake rasmi nchini Tanzania, hatua inayofungua msimu mpya wa upatikanaji wa urembo wa hali ya juu kwa wote. Uzinduzi huo umefanyika katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ikiwa ni sherehe ya kujieleza, kujiamini, na ujumuishi, ikiimarisha dhamira…