
Jaji kutoa hukumu dhidi ya Trump kabla ya kuapishwa – DW – 04.01.2025
Jaji Merchan amesema Trump, rais wa kwanza wa zamani kuwahi kuhukumiwa kwa uhalifu, anaweza kujitokeza ana kwa ana au kwa njia ya mtandao katika hukumu iliyopangwa kusomwa Januari 10.Watoa uamuzi wa mahakama kuanza kujadili kesi ya Trump Katika uamuzi wa kurasa 18, Merchan alikataa hoja mbalimbali za mawakili wa Trump wakitaka hukumu yake kutupiliwa mbali….