Yanga Princess imejipata | Mwanaspoti
UNAWEZA kusema Yanga Princess chini ya kocha Edna Lena ‘ Mourinho’ imeanza kujipata kutokana na muendelezo na ubora wanaouonyesha msimu huu. Mwanzoni mwa msimu Yanga ilianza vibaya Ligi Kuu (WPL) kwa mfululizo wa matokeo ikianza na sare ya 1-1 na Bunda Queens, 1-1 na Alliance Girls, 2-2 na Mashujaa na kupoteza kwa bao 1-0 dhidi…