Columbia Africa Yaingia Tanzania kwa Kuinunua IST Clinic
Columbia Africa Healthcare Limited imetangaza ununuzi wa IST Clinic, kituo maarufu cha huduma za afya kilichopo Dar es Salaam. Kupitia ununuzi huu wa hisa kwa asilimia 100, Columbia Africa inaimarisha uwepo wake katika Ukanda wa Afrika Mashariki, ikiongeza Tanzania kwenye mtandao wake wa kliniki uliopo Nairobi, Kenya. Ununuzi huu ni hatua muhimu katika mkakati wa…