Mrithi wa Askofu Sendoro kujulikana leo
Mwanga. Mkutano Mkuu maalumu wa kumpata Mkuu wa Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) umeanza, huku macho na masikio ya waumini yakisubiri kuona na kusikia ni nani atakayemrithi Askofu Dk Chediel Sendoro, aliyekuwa mkuu wa dayosisi hiyo. Mkutano huo, unaofanyika katika Kanisa Kuu Mwanga, unatarajiwa kuwa na wajumbe 135 na…